Burudani

Picha: Q Girl ashinda Serengeti Diva Super Nyota Tabora

Mwanadada Q Girl ameibuka mshindi wa shindano la Serengeti Super Nyota Diva mkoani Tabora mwaka 2014 baada ya kuwabwanga washiriki wenzake wanane waliokuwa kwenye kinyang’anyiro hicho.

Mshindi Q Girl akipongezwa na DJ Ferry baada kutangazwa kuwa ni mshindi
Mshindi Q Girl akipongezwa na DJ Fetty baada kutangazwa kuwa ni mshindi

Shindano hilo lililokuwa na majaji watatu lilikuwa na raundi mbili mpaka kumpata mshindi huyo ambaye ataungana na wenzake wa mikoa mingine kwenda Dar es salam kushindana na kumpata mmoja atakayefanya kolabo na Diamond.

DJ Ferry akifanya yake
DJ Fetty akifanya yake

Majaji wa wakijadili jambo
Majaji wa wakijadili jambo

Top 4 serengeti diva super nyota
Top 4 Serengeti diva super nyota

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents