Picha
Picha: Profesa Jay ahudhuria kilinge cha Tamaduni Muzik
Leo rapper mkongwe Joseph Haule aka Profesa Jay alikuwa mgeni wa heshima kwenye Kilinge cha kila Jumamosi kinachoandaliwa na Tamaduni Muzik katika ukumbi wa Msasani Club.
Profesa Jay ameweza kushuhudia performance kali kutoka kwa mamc mbalimbali wa Tamaduni Muziki wakiwemo Nikki Mbishi, One the Incredible, Songa, P the MC, Zaiid, Ghetto Ambassador na wengine. Profesa alidata zaidi baada ya kumsikia Nikki Mbishi akiperform nyimbo zake zamani mwanzo mwisho ukiwemo Jina Langu. Pia kwenye kilinge hicho rapper Wakazi alitumbuiza.
Hizi ni baadhi ya picha za show ya leo.