Michezo

Picha: Pogba anunua jumba la kifahari lenye thamani ya £3m

Baada ya kuishi kwenye hoteli ya Lowry kwa zaidi ya miezi sita tangu aliposajiliwa na Manchester United mwanzoni mwa msimu huu, Paul Pogba amefanikiwa kununua nyumba ya kifahari yenye thamani ya paundi milioni 3.49.

Imedaiwa kuwa nyumba hiyo ipo katika eneo la Cheshire na ina vyumba vitano vya kulala, bwawa la kuogelea, eneo kubwa la wazi pamoja na vitu vingine. Tazama picha za nyumba hiyo hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents