Michezo
Picha: Pogba alivyosherekea birthday ya baba yake mzazi pamoja naye
Mchezaji wa klabu ya Manchester United, Paul Pogba ameonyesha mapenzi tele katika kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Baba yake akiwa nae hospitalini.
Paul Pogba akiwa na Baba yake na Mama ake
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Paul Pogba alishare picha akiwa na mzee wake ambae ametimiza umri wa miaka 79 huku akiweka caption ya “Happy birthday dear Dad, I feel blessed to be your son #pogdaddy #fighter #pogbance.”