Michezo
Picha: Pambano la Mayweather na Maidana
Tazama picha zaidi za pambano la ndondi kati ya Floyd Mayweather na Marcos Maidana lililofanyika Jumamosi mbele ya watazamani 16,144 kwenye ukumbi wa MGM Grand Garden jijini Las Vegas, Marekani. Mayweather alishinda kwa pointi na kuendelea kushikilia mikanda ya WBC welterweight na super welterweight.