Habari

Picha: One Billion Rising yafanya maandamano kupinga unyanyasaji wanawake

Ikiwa leo ni siku ya wapendanao duniani, taasisi ya One Billion Rising ikishirikiana na wadau mbalimbali wamefanya maandamano ya amani kupinga unyanyasaji wa wanawake.
Maandamano ya kupinga ukatili wa  wanawake
Maandamano ya kupinga ukatili wa wanawake

Maandamano hayo ambayo yalianzia Msasani Club na kuishia Namanga, yamelenga kuihamasisha jamii kuachana na vitendo ambavyo zinawakandamiza wanawake. Angalia picha ambazo zina mabango mbalimbali yenye ujumbe.
Mabango yakiwa na ujumbe mbalimbali
Mabango yakiwa na ujumbe mbalimbali

Mpaka kieleweke
Mpaka kieleweke

Nancy Sumari akitoa ujumbe
Nancy Sumari akitoa ujumbe

Kikundi cha ngoma kikionyesha mambo yao
Kikundi cha ngoma kikionyesha mambo yao

_K0A3474

_K0A3475

_K0A3478

_K0A3483

_K0A3487

_K0A3489

_K0A3493

_K0A3498

_K0A3499

_K0A3501

_K0A3517

_K0A3519

_K0A3534

_K0A3554

_K0A3556
_K0A3567

_K0A3572

_K0A3573

_K0A3574 - Copy

_K0A3577 - Copy

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents