Burudani

Picha: Ommy Dimpoz awasili Marekani na kupokelewa na wenyeji wake

Hizi ni picha za Faraji Nyembo aka Ommy Dimpoz baada ya kuwasili Marekani jana na kupokelewa na wenyeji wake.

Ommy-1

Ommy Dimpoz anatarajiwa kufanya show ya kwanza Jumamosi ya wiki hii Washington DC, itakayofuatiwa na show ya pili Houston September 28 na show ya tatu Los Angeles October 5 kisha atarejea Tanzania kwaajili ya fainali ya Serengeti Fiesta.

Ommy-2

Ommy-3

Ommy-4

Ommy-5
Ommy Dimpoz na wenyeji mbele ya Hilton Hotel alipofikia

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents