Burudani

Picha: Ommy Dimpoz asimulia alivyokutana na mrembo kwenye video yake mpya, afikiria kumleta kwenye uzinduzi

Ommy Dimpoz amesema kabla hata ya kufahamu kuwa Sofia Skvortsova ndiye model atakayemtumia kwenye video yake, alikuwa amemuona na akatamani msichana kama yeye aonekane kwenye video hiyo.

e61e0e96a8e611e3bd540e4cd1fa8f5b_8
Ommy akiwa na Sofia Skvortsova

“Kwanza yule msichana wakati mimi natoka naelekea location, tupo kwenye taa hivi ambapo tunavuka taa ambazo ukizivuka unaelekea eneo la location nikawa namuona msichana yaani mzuri halafu nikawa nasema kimoyomoyo kwasababu nilikuwa sijamuona nikakutana naye location moja kwa moja, hatukukutana siku ya kwanza tukapanda, hapana, alikuja moja kwa moja siku ya kushoot,” Ommy ameiambia Bongo5.

7cf829e4a60511e3a5b712a3de486cc5_8

Amesema baada ya kumuona Sofia alimwambia mshkaji wake kuwa anatamani msichana kama huyo awe kwenye video yake. Ameongeza kuwa siku ya kufanya video alipofika location akamkuta Sofia eneo hilo na kumchanganya zaidi Ommy.

“Baadaye Moe Musa ndio ananiita ananitambulisha ‘huyu ndio video model, sijui unamuonaje,” ameelezea Ommy. “Mimi nikamwambia, ‘mimi nimempenda sana’ mimi nilimuambia nataka msichana mzuri kulingana na uzuri wa nyimbo na maadhui ya nyimbo yalihitaji msichana mzuri.”

01

Ommy amesema kama mambo yakienda sawa anafikiria kumleta Sofia Tanzania siku ya uzinduzi wa video hiyo. Tangu amtambulishe kwenye Instagram, Sofia amepata followers wengi kutoka Tanzania. “Alipata followers wengi kutoka huku kwahiyo akashangaa sana halafu akaappreciate.”

Msikilize Ommy hapa:

SofiaSkvortsova20

Model huyo ni maarufu sana jijini London aitwaye Sofia Skvortsova. Sofia Skvortsova alizaliwa na kukulia Riga, Latvia. Ana asili ya Urusi, Ujerumani na Poland.

4f5dc3a8be437

Kazi yake ya umodel hufanyia jijini London hufanya kazi na mawakala wa mamodel. Amekuwa akifanya shughuli hiyo kwa zaidi ya miaka mitano barani Ulaya na Mashariki ya Kati. Ameshaonekana kwenye majarida kibao, filamu, matangazo na video za muziki.

Mfahamu zaidi kwa picha hizi:

03

4d7e9e7947e19

4f5d8eb43e177

4fa91175986e4

36d7b2aa9e7011e3940b12026da4bbac_8

4903b1c619372

1409456_2314507

1409456_2601945

1409456_3014986

1409456_3622759

1409456_3761364

1409456_3920611

1409456_4386336

1409456_4796697

1409456_4796698

1409456_5160187

ab9ff3ec9a6811e386250e4caf43b375_8

e72f79567fbe11e38374121bb4bb9875_8

e458c97489f711e3a81f12784011d369_8

sofia-skvortsova

SofiaSkvortsova4-1

SofiaSkvortsova17

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents