Burudani
Picha: Ommy Dimpoz akata kiu ya mashabiki wake wa California, Marekani Jumamosi iliyopita
Hit Maker wa ‘Tupogo’ Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz yuko kwenye ziara ya muziki Marekani na Uingereza ambapo show ya kwanza imefanyika weekend iliyopita katika jiji la California nchini Marekani.
Show itakayofata itakuwa ni ya Valentine itakayofanyika London, Uingereza Jumamosi ya wiki hii February 15 na host atakuwa Salama Jabir.
Hizi ni picha za show ya California.
Photos Credit: Jestina-george.com