Picha

Picha: Ommy Dimpoz ajaza wazungu jijini Milan, Italia kwenye show ya May Mosi

Usiku wa kuamkia jana kwenye siku ya wafanyakazi duniani, May Mosi, Ommy Dimpoz alikuwa jijini Milan Italia ambako alipiga show ya kufa mtu. Katika show hiyo, Ommy Dimpoz alifanikiwa kupata mashabiki kibao wakiwemo wazungu wa nchini humo. Hizi ni picha za show hiyo.

photo(2)

photo(4)

photo(5)

photo(6)

photo(7)

photo(8)

photo(9)

photo(10)

photo(11)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents