Burudani

Picha: Omarion akatiza mitaa na mwanae wa mwezi mmoja, utacheka alivyombeba

Omarion ni baba mwenye furaha na ndio maana hivi karibuni alionekana akitabasamu tu akiwa amembeba mwanae wa kiume mwenye umri wa mwezi mmoja, Megaa Omari Grandberry.

omarion-megaa-1

Muimbaji huyo wa zamani wa kundi la B2K, alikuwa usiku akiwa na mama wa mwanaye, Apryl Jones huko Hollywood.

Tatizo ni jinsi alivyombeba sasa!!

omarion-megaa-3

omarion-megaa-2

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents