Picha
Picha: Nyama Choma Festival (March 2) ilivyofana
Tamasha la Nyama Choma lililofanyika Jumamosi ya March 2 mwaka huu kwenye viwanja vya posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam lilifana vilivyo huku Heineken wakitisha kwa kutoa huduma za vinywaji. Hizi ni baadhi ya picha za tamasha hilo.