Picha

Picha: NMB yawapa mafunzo wajasiriamali jijini Mwanza

Sehemu ya wajasilia mali wanaowezeshwa na benki ya NMB wakifuatilia maada zilizoendeshwa wakati wa semina hiyo

Mkuu wa kitengo cha mikopo midogo na ya kati, Filbert  Mponzi akitoa maada kwa wajasilia mali    iliyohusu umuhimu wa kuandika mchanganuo wa biashara kwa mjasilia mali.

Mkuu wa kitengo cha Akaunti Binafsi NMB, Abdulmajid Nsekela akielezea huduma ambazo mteja wa NMB anafaidika nazo mara awapo na akaunti na NMB

Bw. Harun Manyama Ungura mwenyekiti wa Mwanza Business Club akifafanua jambo katika mafundisho hayo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents