Burudani

Picha: Nicki Minaj na Drake wapiga picha ya pamoja baada ya kupita miaka miwili

Ni muda mrefu Nicki Minaj na Drake hawajaonekana katika picha ya pamoja.

Ni takribani miaka miwili wawili hawa hawajaonekana pamoja huku ikichangiwa na bifu la Drake na ex wa zamani wa Nicki, Meek Mill. Jumatano hii wawili hao wameonekana katika picha ya pamoja wakiwa na rapper Lil Wayne.

“#TheBIG3 #YoungMoney ???? ~ ????,” ameandika Minaj katika moja ya picha alizoaiweka katika mtandao wa Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents