Burudani

Picha: Nicki Minaj ashoot ‘Light My Body Up’ akiwa na David Guetta

Baada ya kumaliza kushoot video ya wimbo wake, No Frauds huko Uingereza, amerudi Marekani na kuingia kazini na kufanya video nyingine ya collabo yake na David Guetta ‘Light My Body Up’ ambao pia Lil Wayne ameshirikishwa.

Nicki aliweka picha katika mtandao wake wa Instagram na kuandika:

“On set w @davidguetta for the #LightMyBodyUp VIDEO SHOOT waiting on @liltunechi to get here #BarbieBackInAmerica MIAMI wuts good?!?!”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents