Technology

Picha: Ni shangwe na misululu mirefu wakati mashabiki wakizishika iPhone 6 zao

Mashabiki wa Apple Ijumaa hii wamezishika simu zao mpya za iPhone 6 baada ya kungojea kwa siku kadhaa nje ya maduka yanayouza simu.

article-2760926-217A8C0A00000578-231_964x632

Hata hivyo, zaidi ya iPhones milioni 5 zinaweza kuishia kwenye soko haramu la Kichina ambapo zinaweza kuuzwa kwa bei mara tatu zaidi. Jijini London Ijumaa hii mamia ya watu walikuwa wamejipanga kwenye mistari mirefu huko Covent Garden na Regent Street walionekana wakisherehekea kila baada ya kupata simu zao.

article-2762212-217C4CA500000578-449_964x448

Sam Sheikh, 27, anayeishi London, amedai kuwa amesubiria kwa siku tatu kungoja siku yake na amekuwa mteja wa kwanza wa Uingereza kupata simu

article-2760926-2178E92900000578-449_964x681

Wakati huo huo huko Marekani kwenye duka la Birmingham kulikuwa na msululu mrefu wa zaidi ya mita 100 ambapo simu zote ziliisha ndani ya dakika 10 tu. Simu hizo zinauzwa kwa kuanzia £539 kwa zile zenye GB16, £619 kwa zile zenye GB 64 na £699 kwa simu zenye GB 128. iPhone 6 Plus zinauzwa kwa kuanzia £619 kwa ile yenye 16GB, £699 kwa yenye 64GB na £789 yenye 128GB.

article-2762212-217C84B400000578-658_964x649

article-2760926-217A8C0A00000578-231_964x632

article-2760926-2178D84A00000578-389_964x652

article-2761650-217A9B8800000578-977_964x629

article-2761650-217AA6A900000578-508_964x637

article-2761650-217A9C0900000578-851_964x600

article-2761650-217A606D00000578-185_964x644

article-2761650-217A607D00000578-688_964x609

article-2761650-217AD13400000578-463_964x669

article-2761650-2178AE9F00000578-794_964x620

article-2761650-2178BDE300000578-653_964x627

article-2762212-217C4CAE00000578-213_964x721

article-2762212-217C4D4C00000578-279_964x716

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents