Habari

Picha: Ndege ya Malaysian Airlines MH17 yadunguliwa na kuuwa abiria wote 295

Ndege ya abiria ya shirika la Malaysian Airlines yenye namba MH17 aina ya boeing 777 imeanguka katika eneo la mpaka wa Urusi na Ukraiane, na kusababisha vifo vya abiria wote 295 waliokuwemo kwenye ndege hiyo.

m1
Mabaki ya ndege hiyo katika eneo la ajali

Ndege hiyo iliyokuwa ikitokea Amsterdam kuelekea Kuala Lumpur inadaiwa kuwa imedunguliwa na waasi.

Mashuhuda waliofika eneo la tukio hilo wamesema kuwa miili imesambaa katika umbali wa km 15.

Rais wa Ukraine alielezea tukio hilo kuwa ni tendo la kigaidi huku waasi wakikanusha kuidungua.

m66

m2

m3

m4

m5

m6

m7

m8

m9

m10

m11

m12

m13

m14

m15
Ndege ya MH17 ilipokuwa ikitoka uwanja wa ndege Schiphol , Amsterdam masaa machache kabla haijadunguliwa Ukraine

Source: Daily Mail

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents