Michezo

Picha: Nape Nnauye akabidhi rasmi ofisi kwa Mwakyembe

Hatimaye aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnaye amemkabidhi ofisi Dkt Harrison Mwakyembe ambaye ndiye waziri mpya wa wizara hiyo aliyeteuliwa wiki iliyopita. Makabidhiano hayo yamefanyika mapema leo asubuhi kwenye makao makuu ya wizara hiyo yaliyopo mkoani Dodoma.

Hizi ni baadhi ya picha za makabidhiano hayo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents