Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Michezo

Picha: Muamuzi aliyesababisha wachezaji wasahau mechi na wabaki kumkodolea macho

By  | 

Brazil ni moja ya nchi zilizobarikiwa na warembo matata. Wiki hii katika mechi iliyochezwa na klabu ya Desire dhidi ya Sporting katika mchezo ambao usio na ligi,lilikuwa kwa mshika kibendera wa kike ambaye alikuwa anachezesha mechi hiyo.

Mrembo Denise Bueno ambaye alishika kibendera katika mchezo huo kama muamuzi namba mbili aliwafanya wachezaji washindwe kucheza mpira na muda mwingi kuchukuliwa wakimshangaa yeye huku mpira unaendelea.

Tukio hilo lilitokea baada ya muamuzi huyo kunywa maji na bahati mbaya yalimwagikia katika nguo yake ya juu aliyoivaa na kusababisha sehemu ya mwili wake kuonekana kiurahisi.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW