Burudani

Picha: Mtoto wa Michael Jackson ‘Paris’ akava jarida la Flaunt akiwa na mpenzi wake

Mtoto wa Mfalme wa muziki wa pop, Michael Jackson ‘Paris Jackson’ amepiga picha kwa gharama kubwa na zitaonekana kwenye jarida la Flaunt. Katika jarida hilo Paris amepiga pozi za mahaba akiwa na mpenzi wake Michael Snoddy. Mtoto huyu wa MJ amekuwa mstari wa mbele kwenye familia yao kupenda umaarufu kama wa baba yake tofauti na watoto wengine wa Michael Jackson. Tazama picha zao.

p1

p2

p3

p4

p6

p7

p8

p9

p10

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents