Michezo
Picha: Mrembo huyu wa kizungu ndiye mpenzi wa Adam Nditi!
Mchezaji Mtanzania wa aliyekuwa akichezea timu ya vijana ya Chelsea, Adam Nditi amemweka wazi mpenzi wake. Msichana huyo anaitwa Melissa Kerwood.
Adam Nditi akiwa na Melissa Kerwood
Kupitia ukurasa wa Twitter, Adam amemwandikia mrembo huyo ujumbe huu kumpongeza kwenye siku yake ya kuzaliwa: Happy Birthday to my beautiful girlfriend @Melissa_kerwood Hope your day is as special as what you are to me! I love you lots.