Burudani

Picha: Mrembo huyu asababisha Justin Bieber na muigizaji Orlando Bloom warushiane makonde!

Justin Bieber amerudi tena kwenye headlines baada ya kuingia kwenye ugomvi na muigizaji wa filamu, Orlando Bloom.

rs_1024x759-140730043640-1024.Orlando-Boom-Justin-Bieber-JR-73014_copy

Ni Orlando ndiye aliyemrushia ngumi Justin Bieber jana huko Ibiza kwenye mgahawa ambao ilimlazimu Justin kuondoka. Mashuhuda wameiambia TMZ kuwa Orlando alikuwa kwenye mgahawa uitwao Cipriani uliokuwa na mastaa kibao Paris Hilton na Diddy. Kuna watu wanasema kuwa Justin aliongea maneno yaliyomuudhi Orlando kuwa aliwahi kufanya mapenzi na aliyewahi kuwa mke wake, Miranda Kerr.

miranda-kerr-gq-uk-2
Miranda Kerr aliwahi kuwa mke wa Orlando

Baada ya tukio hilo, Justin Bieber ametumia Instagram kumtupia madongo Orlando ikiwa ni pamoja na kuweka picha yake akiwa analia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents