Burudani

Picha: Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma anywa chai ya pamoja na wasanii wa Serengeti Fiesta

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu aliwakaribisha wasanii ambao wanafanya show leo ya Serengeti Fiesta kunywa chai ya pamoja na na kuongea nao maneno machache.

Mh. Mkuu wa mkoa Said Mwambungu na ACP Mihayo Msekela Kamanda wa Polisi
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu na Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, ACP Mihayo Msekela

Mwambungu aliwasihi wasanii wapendane na kuwa kitu kimoja kwani umoja wao ndio utakaowasaidia katika kupambana na wizi wa kazi zao. Pia aliwakaribisha mkoano humo kufanya utalii wa ndani wajionee jinsi mkoa huo ulivyo na vivutio vyake mbalimbali.

Mh.Mkuu wa Mkoa Said Mwambungu akiwangoza wasanii kupata chai ya pamoja
Mkuu wa Mkoa, Said Mwambungu akiwaongoza wasanii kupata chai ya pamoja</strong

Kwenye chai hiyo alikuwepo pia mkuu wa wilaya ya Songea, Joseph Mkirikiti pamoja na Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, ACP Mihayo Msekela. Wasanii hao waliambatana na Mkurugenzi wa Vipindi na Utayarishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba. Wasanii waliohudhuria ni pamoja na Madee,Linex,Recho,Barnaba,Mo Music,Baraka Da Prince,Godzilla,Mr Blue,TID, pamoja na watangazaji wa Clouds FM Shadee na Dj Fetty.

Mkurugenzi Wa Clouds Media Ruge Mutahaba akiwatambulisha wasanii
Ruge Mutahaba akiwatambulisha wasanii waliofika kwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh. Said Mwambungu akiongea na Wasanii amaneno machache
Said Mwambungu akiongea na wasanii

Mkuu wilaya ya Songea Mh. Joseph Joseph Mkirikiti akiwakaribisha wasanii
Mkuu wilaya ya Songea, Joseph Mkirikiti akiwakaribisha wasanii

Stamina,Godzilla,Recho na Madee wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Mh.Said Mwambungu
Stamina,Godzilla,Recho na Madee wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Wakati wa kupata chai
Wakati wa kupata chai

IMG_9037

IMG_9043

IMG_9050

IMG_9051

IMG_9055

IMG_9057

IMG_9060

IMG_9061

IMG_9067

IMG_9002

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents