Burudani

Picha: Missy Elliott auonesha mwonekano wake wa sasa baada ya mwili wake kupungua sanaaa!

Rapper Missy Elliot ameshare picha ya muonekano wa mwili wake ulivyo hivi sasa, baada ya kupungua kwa kiasi kikubwa sana hadi unaweza usimtambue kwa haraka.

Missy
Mwonekano wa sasa wa Missy Elliott

Katika picha hiyo aliyoipost Instagram aliandika “Just got off stage thanks @ALEXANDERWANGNY and @hmusa for having me perform I enjoyed.”

Missy e
Muonekano wa 1998

Elliot (43) alihudhuria na kutumbuiza kwenye Alexander Wang’s H&M launch huko New York wiki iliyopita.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents