Burudani
Picha: Miss Colombia atwaa taji la Miss Universe 2014
Miss Colombia, Paulina Vega ametwaa taji la Miss Universe 2014 kwenye shindano lililofanyika Jumapili hii nchini Marekani.
Miss USA, Nia Sanchez amekuwa mshindi wa pili.
Warembo 88 walikuwa wakiwania taji hilo.