Burudani
Picha: Miaka 10 ya THT yaadhimishwa kwa kishindo Escape One
Tanzania House of Talent, THT, imeadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake. Kilele cha maadhimisho hayo kililifanyika pale Escape One kwa show kali ya live. Zaidi ya wasanii wa THT, wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Mwana FA,Ali Kiba,Bushoke,Weusi,Mrisho Mpoto,Fid Q na wengine. Tazama picha zaidi hapo chini.