Habari

Picha: Mfahamu zaidi, Jane ‘Pacha’ wa Rich Mavoko kwenye video yake mpya

Afrika Kusini kama kama nchi zingine zilizoendelea zinaichukulia kazi umodel kwa uzito mkubwa na ndio maana ilimcost Rich Maviko mkwanja mrefu kidogo kupata huduma za binti mrembo anayeonekana kwenye video ya ‘Pacha Wangu’.

102

Binti huyo anaitwa Jane, mzaliwa wa Afrika Kusini na ni kutoka kampuni ya D&A iliyopo jijini Cape Town. Jane ameshafanya kazi kubwa mbalimbali za modeling kama fashion shows pamoja na kutokea kwenye majarida ya urembo mbalimbali ikiwemo lile kubwa la Maybelline la nchini Marekani.

https://www.youtube.com/watch?v=nw59lY5hpF4

101

“Haikuwa rahisi kumpata sababu kule tumeenda hatujuani na watu kivile, ila wenzetu kila kitu chao kipo kwenye internet, so tulichofanya tukawatafuta mwisho na tukapewa machaguo kibao, na huwezi amini msichana tuliyetakiwa kushoot naye hakuwa huyu,” Mavoko ameiambia Bongo5.

099

“Jane tumempata mwishoni kabisa dakika ya 90, aliyetakiwa kushoot na sisi alikuwa anaitwa Bibi, sema akapata safari ya ghafla nje ya Afrika Kusini yenye mtonyo zaidi ndo tukaja kumvumbua Jane ambaye kawa mkali kuliko yule.”

006
Huyu ndiye Bibi, msichana aliyekuwa amepangwa kuonekana kwenye video hiyo

Tazama picha zaidi za Jane hapo chini.

065

068

085

088

093

094

096

020

024

044

061

063

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents