Burudani

Picha: Mfahamu ‘baby mama’ wa Professor J, ‘Mama Lisa’

Black Rhyno amewahi kuoa kumzidi kaka yake Professor J lakini hiyo haimaanishi kuwa Mchawi huyo wa Rhymes hana mke mtarajiwa.

10616801_739013806157461_1892671967_n

Kupitia Instagram, Professor J amemweka wazi mwanamke anayeweza kushika wadhifa wa Mrs Joseph Haule.

“OF COURSE ni Baba LISA na Mama LISA. …. What more can I SAY?? #MWANALIZOMBE,” ameandika Professor kwenye picha hiyo juu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents