Burudani

Picha: MC Pilipili afanya kile wachekeshaji wengi wa Bongo wanaogopa kufanya mikoani

Sio Alikiba na Diamond Platnumz tu waliojaza nyomi kwa show zao za sikukuu ya Christmas.

1168441_1679872298952611_404278398_n

Wakati wakali hao na wasanii wengine wa muziki wakiingiza mamilioni ya shilingi jijini Dar es Salaam, mchekeshaji maarufu, MC Pilipili alikuwa na show ya kwanza ya komedi mjini Dodoma na kuvuta nyomi la kufanya mtu.

12338967_163352447358949_92522992_n

Sio kitu cha kawaida kwa mchekeshaji wa Tanzania kuvutia umati mkubwa wa watu mkoani, tena kwenye ukumbi maarufu kwaajili ya show ya komedi tu.

Kwenye wikiendi iliyopita, mchekeshaji huyo alizivunja mbavu za wakazi wa Dodoma kwa show yake kwenye ukumbi wa Royal Village. Hizi ni baadhi ya picha:

12394179_1744048035816949_748541705_n

12339062_1706854199533053_692840623_n

12353439_1644678582471014_2079068884_n

12362282_157109814656464_2104395480_n

12362421_1657736801169789_1200053629_n

12362492_426066584253712_603903626_n

12393823_142388152799047_658772192_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents