Habari

Picha/video: Mbowe alivyowasili mahakamani leo

Mwenyekiti Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, leo amefika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, kufuatilia mwenendo wa kesi ya kikatiba aliyoifungua dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Hizi ni baadhi ya picha za Mbowe akiwa katika Mahakama kuu ya Tanzania.


Freeman Mbowe akiwasili Mahakamani hapo mapema Jumanne hii.


Baadhi ya wanachama wa Chadema waliokuwepo Mahakamani hapo

Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe akiwa na mbunge mwenzie wa chama hicho Esther Bulaya

Mahakama kuu Dar es salaam, imetoa zuio la muda kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kutokamatwa na polisi au kuwekwa kizuizini mpaka maombi yake yataposikilizwa tena Ijumaa ya Februari, 24 mwaka huu saa 7 mchana.

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents