Burudani

Picha: Mavazi haya yawatokea puani Sauti Sol, yafanya Wakenya wawaite ‘mashoga’

Kundi la Sauti Sol la nchini Kenya limejikuta likikabiliana na mashambulizi kutoka kwa mashabiki wao, baada ya kutinga mavazi ambayo yameleta tafsiri tofauti kiasi cha kusababisha wengi wazungumzie zaidi mavazi tena kwa mtazamo hasi, badala ya onesho walilofanya.

sauti neti

Mashabiki wa muziki wa Kenya wameyabatiza jina mavazi hayo na kuyaita ‘mavazi ya neti za mbu’, na wengine kudiriki hata kusema yamefanya waonekanae kama ‘mashoga’.

Mavazi hayo waliyavaa kwenye onesho la Mega Party Shanzu Teachers College ambapo walitoa burudani.

sauti neti-2

Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki kutoka kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mavazi hayo:

Racheal Mudaka: Your fans are lying. You look bad! Kwanza the second one from the left… yours is a special case. You look like a bitch, and not in an urban sense.

Wesah Kevin Art: Acheni kuenjoy hawa watu…hzo manguo zii…niko sure mimi nikivaa hzo nguo nitachekwa huku mtaani..bt jst bcoz sauti sol wamevaa olova sudden ladies go mad… #Gold_digger_mentality….. Nway moral of the story: Tafuta pesa kwanza, then vaa sufuria kwa kichwa utapata support ka yote

Denzel Musonye: these men are homosexuals who fuck each other in the an*s

Battista Omondi: Tuseme tu ukweli, the guys are talented. The outfits? Hapana. That’s not the best way to live and die in Africa.

Mich L. McConnell: Thanks guys.. Never laughed so hard those outfits are just hilarious…bwahahaha!!#why

Nyamari Ndege: Wanaume mabinti.. si basi muvae bikini sasa. nini mumebakisha

Maina-summers Lizzie: Only thing missing from CHIMANO’S outfit are heels to complete the pose….as for SAVARA are you gay? BIEN when did you start wearing crop tops? POLYCAP no comment……MUNGA please leave this look for Chris Brown na wengine….this is as bad as jimmy gait’s hello

Faith Wamaitha:
Why do u like dressing like girls???its a No!!!!

Jayne Wairimu: What? This is bad!! The short one looks like a teenage girl. .. the others look horrible!

Tuitoek Komen Suzzie: Have never seen any artist in Africa dressing as bad as sautisol. What is this now . Can’t u guys dress nicely…. Sasa mosquito nets…. is this call fashion in there own language????

Oshea Kim:
Enyewe mi sijui mmevaa nini, nimekosa maneno , i think imekuwa overdone… ‘the tenth comment, by me

Violet Lisero:
trying to look beyond the outfits but the cow has refused! Sorry epic fail! hope Lilian Muli will feature you on next week’s fashion watch ad like to hear Robert Burale’s input on this
Kev Vinci: Yall saying ati awesome outfits….stop lying… Smh wanaume walianza kuvaa chiffon na neti mwaka gani.??.?
Christopher Kwach CJ: Why are people afraid of telling the truth? ? The guys are horribly dressed, sycophancy will kill us Kenyans.
Lucy Mburu: Eish the first right side guy.kuna torch kwa mfuko ama ni

Seth Sketcher: Y’all gay ass bitches….what the fuck is wrong with y’all??? Your dresser needs to quit!!! Mmefanywa ka mashoga!!!!

Eve Mwangi: Sema swag!! U guys are looking fiiiineee… But I have a question, is it that my eyes have a problem… But Bien n Polycarp look like they are horny.

Pauline Kiongo: This short man(someone remind me his name) anakaa kadame.

Njoki Ndung’u: Looking good girls

Michael Apache: niggas lookin like homeless strippers in them outfits

Ivan Abila: If this is the dress code Acha niskize kwa redio tu.

Jasina N Suzannes: Am fan bt your dressing is trying too much on the female side..kumekosa amale designer ama you guys turning round not straight.

Abdinho Da Somali Bwoy:
vaaeni kama wanaume wenye heshima surely mkivaa hvi society itawachukuliaje guyzz afadhali mtoe hzo nguo

WazoolooluoNyale Josh: SautiSol on mosquito nets.

Governor Alvine Opicho: Nets n stuff… But why is that short guy possing like a lady? #EpicFail

Cherux Mus: ni kuzuia mosquitoes mlikuwa mmazuia ama? you look ugly afadhali ata wale madem wa muchatha wenye hawajui fashion.ni nini but they dress good ..you look.like bitches

Rachael M Masika: Haki wanakaa madem!nkt

Margaret O Barongo:
Men in misquito nets? Horrible outfits

Aidonia Wachira:
Hizi nguo ni za gays so are you

Eliud Njenga:
Straight gayishh. Why dress up like a bitch

Jacqlyn Murugi: Mosquito nets promotion ama??

Michelle Estella: You guys look like your going on a gay double date.
Shiro Kamonjo: Those mosquito nets tho!!?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents