Michezo

Picha: Manchester United yazindua jezi mpya za Adidas

Manchester United imekamilisha mkataba wa pauni milioni 750 na kampuni ya Adidas baada ya kuwa na Nike kwa misimu 13.

jezi

Mkataba wa United umezishinda klabu nyingine zilizodhaminiwa na Adidads zikiwemo Bayern Munich (pauni milioni 645) na Chelsea (pauni milioni 300).

jezi4
Juan Mata, Ashley Young na Daley Blind wakiwa katika tangazo la jezi mpya za Man United

jezi1
Juan Mata, Bastian Schweinsteiger na Ander Herrera wakiwa wamepozi katika tangazo hilo

jezi2

jezi3

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents