Michezo

Picha: Man United msimu wa 2014-15 tofauti kubwa yaonekana

Kikosi cha Manchester United kimepiga picha ya pamoja na benchi zima la ufundi ambalo litakuwa likiongozwa na meneja mpya kutoka nchini Uholanzi Lous van Gaal.

Kikosi hicho kimefanya hivyo ikiwa ni mipango iliyowekwa klabuni hapo kila japo safari hii kumekuwa na tofauti kubwa kutokana na mabadiliko yaliyofanywa na kocha Lous Van Gaal ya kuwauza baadhi ya wachezaji na kuwasajili wengine.

Picha ya msimu wa mwaka 2014-15 ya klabu hiyo ya Old Trafford imeonekana ikiwa na wachezaji kumi wapya, ambavyo ni tofauti na ilivyokuwa wakati wa utawala wa meneja Sir Alex Ferguson aliyestaafu mwezi June mwaka jana.

Picha ya 2014-15 ndo hii.

1410880680556_wps_38_image001_png

Mstari wa nyuma kutoka kushoto ni Jonny Evans, Marouane Fellaini, Chris Smalling, Tyler Blackett, Marcos Rojo* na Phil Jones, mstari wa tatu ni Antonio Valencia, Anderson, Daley Blind*, Robin van Persie, Michael Carrick, James Wilson, Andreas Pereira na Ashley Young, mstari wa pili ni Gary Walker*, Marcel Bout*, Dr Steve McNally, Luke Shaw*, Ben Amos, Dave De Gea, Anders Lindegaard, Angel di Maria*, Frans Hoek*, Alec Wylie na Neil Hough na wa mbele ni Rafael, Ander Herrera*, Radamel Falcao*, Albert Stuivenberg*, Wayne Rooney, Louis van Gaal*, Darren Fletcher, Ryan Giggs, Juan Mata, Adnan Januzaj na Jesse Lingard. Wote

Picha ya chini ni ya msimu uliopita ambapo wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi waliowekewa vivuli wameondoka.

1410512163498_wps_30_MANCHESTER_ENGLAND_SEPTEM

Mstari wa nyuma ni Danny Welbeck, Phil Jones, Chris Smalling, Jonny Evans, Marouane Fellaini, Rio Ferdinand, Michael Carrick na Robin van Persie, mstari wa tatu Masseur Garry Armer, mtathmini viwango vya wachezaji Paul Brand, mkuu wa idara ya fiziki Tony Strudwick, Antonio Valencia, Darren Fletcher, Wilfried Zaha, Adnan Januzaj, Fabio da Silva, mchua misuli Rod Thornley, mtunza vifaa Alec Wylie, na daktari wa viungo, Neil Hough, mstari wa pili mtunza vifaa msaidizi Ian Buckingham, daktari wa viungo Rob Swire, Dk Steve McNally, Alexander Buttner, Sam Johnstone, Anders Lindegaard, David de Gea, Ben Amos, Ashley Young, kocha Phil Neville, mchua misuli Andy Caveney na kocha wa makipa Chris Woods. Mstari wa mbele ni Shinji Kagawa, Rafael da Silva, Anderson, Nani, kocha Msaidizi Steve Round, Ryan Giggs, Kocha Mkuu David Moyes, Nemanja Vidic, kocha Jimmy Lumsden, Patrice Evra, Javier “Chicharito” Hernandez, Tom Cleverley na Wayne Rooney.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents