Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Habari

Picha: Mamia ya watu New Zealand walivyojitokeza kuwasaidia nyangumi waliokwama ufukweni

By  | 

Mamia ya watu wamejitokeza kuwaokoa nyangumi karibu 100 waliokwama katika ufukwe wa Farewell Spit nchini New Zealand.

Imedaiwa kuwa nyangumi hao ni kati ya wale 400 ambao walikwama katika ufukwe huo usiku wa Alhamisi hii ambapo kati ya nyangumi hao 300 wamedaiwa kufa katika ufukwe huo. Tazama picha zaidi hapa chini watu wakijaribu kuwaokoa nyangumi hao.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW