Michezo

Picha: Mabingwa wa AFCON 2015 Ivory Coast wapokelewa kwa shangwe Abidjan

Timu ya taifa ya Ivory Coast iliyotwaa kombe la mabingwa wa Afrika, AFCON 2015, imepokelewa na mamia kwa maelfu ya mashabiki waliokusanyika kwenye uwanja wa ndege na mitaa mbalimbali ya mji mkuu wa kibiashara wa nchi hiyo Abidjan kuwakaribisha nyumbani.

mapokezi1
Rais wa Ivory Coast, Alassane Outtara akiwa na nahodha wa Ivory Coast Yaya Toure

Rais wa Ivory Coast Alassane Outtara alitangaza siku ya Jumatatu kuwa ya mapumziko kufuatia ushindi wa Ivory Coast kwenye fainali dhidi ya Ghana nchini Equatorial Guinea.

mapokezi5
Nahodha Yaya Toure akilionyesha kombe baada ya kuwasili mjini Abidjan

mapokezi6
Mashabiki walivyowakaribisha washindi wa AFCON 2015

mapokezi2

mapokezi3

mapokezi4

mapokezi7

mapokezi11

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents