Burudani

Picha: Lillian Kamanzima aahidi makubwa baada ya kuchukua taji la Sitti Mtemvu

Aliyekuwa mshindi wa pili kwenye shindano la Miss Tanzania 2014, Lillian Kamazima amekabidhiwa taji la Miss Tanzania 2014 na kamati ya Miss Tanzania baada ya Sitti Mtevu kujivua.

IMG_7423
Miss Tanzania Lillian Kamazima akizungumza na waandishi wa habari

Akizungumza na waandishi wa habari leo katika mkutano uliyofanyikia kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Dar es Salaam, Lilian ameahidi kuisadia jamii ya Tanzania.

“Nashukuru kupata nafasi hii, naitwa Lillian Kamazima nina miaka 18, nitatumia nafasi hii kusaidia jamii nikishirikiana na kamati ya Miss Tanzania na pia kuiwakilisha Tanzania katika Miss World,” alisema Lilian.

Lilian ni mrembo kutoka Arusha. Mfahamu zaidi kwa picha zake hizi.

1

4

11

10450850_787536647954816_1136016473347063158_n

10694220_358857137625675_5648966107406149618_o

IMG_4851

IMG_4915

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents