Michezo

Picha: Ligi Kuu Uingereza yazindua logo mpya

Ligi Kuu ya Uingereza mezindua nembo (logo) mpya ambayo itatumika msimu ujao.

simba6
Hii ndo logo mpya itakayotumika msimu ujao wa ligi kuu Uingereza imezinduliwa

Muundo wa nembo hiyo mpya ina picha ya Simba – alama ambayo ni sehemu ya urithi wa mashindano ambayo yanarejea kuanzishwa kwake mwaka 1992.

simba7
Hii ndio logo mpya ya ligi

Picha hiyo ya simba imekuwa ni alama maarufu kwenye logo ya Ligi Kuu tangu mfumo ulipobadilika kwenye msimu wa 19912-93, ikiwasilisha ushirikiano kati ya ligi na Shirikisho la Soka Uingereza – ambalo logo yake ina simba watatu.

simba8
Hii ilikuwa ndo Logo ya zamani yenye picha ya simba imekuwa maarufu

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents