Michezo

Picha: Lewis Hamilton anyakua ubingwa wa dunia wa mbio za magari za Formula One

Dereva wa Uingereza, Lewis Hamilton ameibuka mshindi wa mbio za magari wa dunia, Formula One – Abu Dhabi Grand Prix.

236E002000000578-2846117-image-149_1416756179175
Hamilton akishangilia ushindi

B3I1xv8CEAAH9H4.png large

“Hii ni siku kubwa zaidi katika maisha yangu,” alisema dereva huyo mwenye miaka 29 aliyeendesha gari ya Mercedes Benz.

236E086B00000578-2846117-image-196_1416757853042

Huo ni ushindi wa mara ya pili wa taji hilo baada ya mwaka 2008 na anaungana na madereva wengine wenye mataji mawili akiwemo Fernando Alonso.

1416757632531_Image_galleryImage_ABU_DHABI_UNITED_ARAB_EMI
Hamilton akipewa busu la ushindi na mpenzi wake,Nicole Scherzinger

Michael Schumacher anashikilia rekodi ya mataji mengi zaidi akiwa nayo saba. Mpenzi wake Nicole Scherzinger na familia yake walikuwepo kumshangalia.

1416756345691_Image_galleryImage_ABU_DHABI_UNITED_ARAB_EMI

1416757707268_Image_galleryImage_Mercedes_Lewis_Hamilton_c

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents