Burudani

Picha: Lady Gaga, Hamilton na Luke Bryan walivyowasha moto kwenye Super Bowl 51 Halftime Show

Jumapili hii ya Februari 5 ilifanyika fainali ya Super Bowl 51 ambapo timu ya New England Patriots ilikuwa ikishindana na Atlanta Falcons kwenye uwanja wa NRG Stadium mjini Houston, Marekani. Wasanii kadhaa akiwemo Lady Gaga, Hamilton, Luke Bryan walitumbuiza katika fainali hiyo.

Tazama picha zaidi hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents