Michezo

Picha: Kobe Bryant apewa heshima kubwa na jiji la Los Angeles

Mchezaji nguli wa kikapu nchini Marekani, Kobe Bryant amepewa heshima kubwa na jiji la Los Angeles ambapo Jumatano hii ilitajwa kama siku yake.

378EE11C00000578-0-image-a-32_1472084190682

Tarehe hiyo ilikuwa ni mchanganyiko wa jezi alizozivaa kwenye career yake akiwa na Los Angeles Lakers, 8 na 24.

378EE1F400000578-0-image-a-28_1472084143155

Alipewa alama ya jiji na meya wa Los Angeles, Eric Garcetti, akiwa na familia yake na wanasiasa wengine wa mji huo na kumtakia heri ya kuzaliwa, kwa kufikisha miaka 38, Jumatatu.

Kuonesha furaha kwa heshima aliyopewa, Kobe alitumia Twitter kuandika: ‘It was MY honour to play here for 20 years. Much respect, LA #Kobebryantday.’

378EB0F700000578-0-image-a-33_1472084301342

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents