Picha
Picha: Kilichoendelea jana kwenye B-Ball Kitaa Tournament – Gymkhana Dar
Jana ilikuwa ni wiki ya pili ya mashindano ya mchezo wa kikapu, B-Ball Kitaa yanayofanyika kila Jumapili kwenye uwanja wa Gymkhana jijini Dar es Salaam. Kama kawaida Bongo5 ilikuwepo na hizi ni picha za jana.