Michezo

Picha: Kili Music Tour 2014 yaacha historia Kigoma

22
Diamond na Wasafi wakitumbuiza

1
Umati wa mashabiki ukiisubiria burudani katika uwanja wa Lake Tanganyika

8

2
Backstage: Christian Bella, Nikki wa Pili na Amini

3
Backstage: MwanaFA

4
Backstage: Profesa Jay

5
Mfalme wa Taarab nchini Mzee Yusuph ndiye aliufungua usiku wa Kili Music Tour

6
Amini akiwaimbisha mashabiki moja ya nyimbo zake

7

9(1)
Mwasiti ambaye asili yake ni mkoa wa Kigoma alipokelewa kwa shangwe alipopanda jukwaani

10

11
Mshindi wa tuzo ya mtunzi bora bendi, Christian Bella akiimba mbele ya umati wa mashabiki wa Kigoma

12

13
Profesa Jay mmoja ya wasanii wanaokubalika kila kona ya nchi akiwa jukwaani

14

15
Mizuka ya show iliwafanya hawa washindwe kujizuia kutoa shangwe

17
Nikki wa Pili, Joh Makini na GNako Warawara waliendelea kuonyesha kuwa wao ni moja ya makundi bora kabisa ya Hip Hop kuwahi kutoke nchini

19
DJ Choka akiwa kazini

20
Wadau wakifurahia burudani

21
Diamond na Wasafi wakiufunga usiku uliojaa burudani mkoani Kigoma

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents