Picha

Picha: Kigoma Allstars wala shavu la tangazo la TV la NSSF

kigoma allstars

Kigoma Allstars wameuanza vizuri mwaka 2013. Kwanza wameachia hit nyingine baada ya Leka Dutigite, iitwayo Nyumbani ambayo tayari inafanya vizuri kwenye radio. Pili wana ziara ya show za Valentine’s Day. Na tatu wamekula shavu la kufanya tangazo la TV la NSSF.

Kupitia Instagram, Diamond ameshare picha wakiwa kwenye location wakishoot tangazo hilo na kuandika: #BusyShutin #kigomaAllstars #NSSFAdvert #Tvc.

Mungu awape nini!!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents