Burudani
Picha: KCEE wa Nigeria anunua Cadillac Escalade 2014 yenye bodi ya dhahabu (Gold Plated)
Hitmaker wa Pull Over, KCEE wa Nigeria ameonesha jeuri ya fedha kwa kununua gari aina ya Cadillac Escalade 2014 yenye bodi ya dhahabu.
Gari hiyo imewekewa dhahabu na kampuni ya Malivelihood Luxury Designs.
“So far this year God has been so good to me,sold out concerts,successful tours,endorsements e.t.c. So I decided to bless myself with a new Cadillac Escalade. My fans are still my greatest asset , so I’ve decided to give out Scholarship to any level before the year runs out and also another Miss fine face contest with bigger & better Prizes. #ilovemyfans #Kcee #fivestarmusic #ogadinma,” ameandika KCEE kwenye Instagram.
Gari hizo 9 (isiyokuwa na bodi ya dhahabu) huuzwa kati ya $67,970–$83,070 kama utainunua majuu.