Burudani

Picha: Karrueche, Mama yake, Bow Wow, Tank wahudhuria kesi ya Chris Brown

Weekend hii kesi ya Chris Brown ilisikilizwa kwenye mahakama ya Washington DC. Pamoja na kuwa katika wakati mgumu, huenda Breezy alipata tabasamu usoni mwake baada ya kuwaona watu muhimu katika maisha yake wakiwemo mama yake mzazi, mpenzi wake Karrueche Tran pamoja na marafiki zake Bow Wow na Tank.

Chris Brown Court Date

Chris Brown Court Date

Chris Brown Court Date

Chris Brown Court Date

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents