Habari

Picha: Jux azionesha dhahabu, noti za dollar na viatu vya thamani kwenye Instagram

Sio kila msanii unayemsikia kwenye radio hufanya muziki ili apate mkate wake wa kila siku. Ingawa wasanii wengi wapo kwenye muziki kwa dhumuni hilo, wapo wachache ambao hufanya kwakuwa wana kipaji na wanapenda kuimba.

38a0e442cf5b11e2a5b622000a9f1254_7
Jux ni mmoja wao

Ndio maana pamoja na kwamba huzisikii sana nyimbo zake redioni, huwezi kumsikia akilalamika. Halalamiki kwasababu hana njaa. Muimbaji huyu aliyewahi kuongoza list ya Bongo5 ya mastaa 10 wa kiume Tanzania wanaopiga pamba kali zaidi, ameamua kuonesha jinsi ambavyo katika maisha yake hakuna vocabyurali ‘Shida’ kwa kuweka picha za noti (buruguntu) za dola za kimarekani pamoja na cheni nzito ya dhahabu.

8b1fb55eda4611e2ae4022000ae911aa_7

940a4358d83111e29c3622000ae904f9_7

“It’s all about my new cuban chain gold 24k I need you haters plzz dont leave me,” ameandika Jux kwenye picha hiyo.

Katika picha nyingine Jux ameonesha nguo, viatu vya brand kubwa na aghali duniani kama Versace, Gucci, Giuseppe Zanotti, Balenciaga na zingine.

0d4522dcd26b11e2b3f322000a1f96e5_7

3708572ed29311e29a8f22000a9f195b_7

c4892a76cf6211e2984e22000a9d0de0_7

Jux yupo masomoni barani Asia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents