Burudani
Picha: Jinsi Jose Chameleone alivyopokelewa Dar es Salaam
Jose Chameleone amewasili jijini Dar es Salaam tayari kwa show yake ya ‘Tubonge Tour’ usiku wa leo kwenye ukumbi wa New Maisha Club wa Dar na siku ya Jumamosi atakuwepo mjini Dodoma. Hizi ni picha zinazomuonesha wakati akiwasili.
Jose Chameleone