Burudani

Picha: Jermaine Jackson yuko Nigeria kwaajili ya kushiriki kwenye album mpya ya P-Square

Baada ya P-Square kufanya collabo na staa wa Marekani T.I hivi karibuni, member wa zamani wa kundi la Jackson5 na kaka wa marehemu Michael Jackson, Jermaine Jackson nae ametua nchini Nigeria kwaajili ya kushiri kwenye album mpya na ya sita ya mapacha wa kundi la P-Square.

Jp

Kupitia Instagram Peter Okoye ameshare picha za Jermaine akiwa kwenye mjengo wao ‘Squareville’ na kuandika:

“As a child this seemed like earth to Pluto dreams but alas, here we are working together… Keep your dream alive… Cc @jermjackson5 @judeengees @rudeboypsquare #6thalbum”

jp2

“He said it and he’s finally here …. #6thalbum #squareville work in progress.. Wait for it. Cc @jermjackson5”

j
Jermaine akiwa na familia ya Okoye, mke wa Peter, Lola, na watoto wao Cameron na Aliona

Haijajulikana moja kwa moja kama watafanya nae collabo au atashirikiana nao upande wa production.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents