Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Picha: Jarida la Baabkubwa lazinduliwa upya Alhamisi hii

By  | 

Alhamisi hii uongozi wa Baabkubwa umefanya sherehe ya uzinduzi wa jarida hilo katika ukumbi wa King Solomon ambalo limekosekana mtaani kwa kukaa kimya takribani kwa miaka miwili.


Bosi wa Baabkubwa akiwa na meneja wa jarida hilo

Sherehe hiyo ilihudhuriwa na watu kibao wakiwemo wasanii wa muziki, waigizaji, watayarishaji wa muziki, wabunifu wa mitindo, watangazaji na wadau wengine wa tasnia ya burudani hapa nchini. Lakini pia sherehe hiyo ilitumika kuwatambulisha viongozi wapya watakaolisimamia jarida hilo ambao wanaongozwa na mkurugenzi wa Candy and Candy, Joe Kariuki.

Tazama picha zaidi hapa chini za tukio hilo.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW