Burudani

Picha: J. Martins amuonesha mtoto wake Jason aliyezaliwa mwezi huu

Star wa Nigeria J.Martins amemtambulisha kwa dunia mtoto wake wa kiume Jason kwa kupost picha zake mtandaoni akiwa amembeba. Star huyo wa muziki kutoka Nigeria na mke wake Nnezi Diana Mbila walipata mtoto wao wa kwanza aliyezaliwa February 4 mwaka huu huko Atlanta, Georgia, Marekani.

J-Martins-Son-2

Martins ambaye ameshafanya collabo na baadhi ya wasanii wa Tanzania akiwemo AY na Mwana FA, bila kumsahau Ommy Dimpoz alishare picha za mwanaye akiwa amemvalisha jezi ya timu ya Chelsea FC.

J-Martins-Son-4

Baba Jason amempatia mwnaye aka ya ‘J Eto’o Fils’.

J-Martins-Son-1

J-Martins-Son-3

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents